Books
Quotes
Blog
Author Program
Sign In
Sign Up
Directories: By Author By Tag Submit a Quote

Quotes Tagged "dakika-1-na-sekunde-8"

Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane – huu ni utafiti wangu tu – hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako sehemu fulani ulimwenguni. Ukiamini kwa kiasi cha kutosha kwamba umekipata, utakipata. Haijalishi kama una elimu au huna. Hiyo ndiyo siri kubwa zaidi ya utajiri kuliko zote duniani – MAWAZO YAKO.
— Enock Maregesi
Tags: wealth, utajiri, utafiti, universe, ulimwengu, thoughts, siri, secret, research, mawazo, elimu, education, dakika-1-na-sekunde-8, 1-minute-8-seconds
  • About
  • Contact Us
  • Terms and Conditions
  • Community Guidelines
  • Privacy Policy
© WSIRN 2025, Made with ❤ in Tokyo & Bali.