Books
Quotes
Blog
Author Program
Sign In
Sign Up
Directories: By Author By Tag Submit a Quote

Quotes Tagged "mafanikio"

Unataka kufanikiwa lakini hutaki watu wakuone. Kama una kipaji kionyeshe kwa watu.
— Enock Maregesi
Tags: watu, talent, success, people, mafanikio, kipaji
Maisha yangu ni kafara ya mafanikio yangu.
— Enock Maregesi
Tags: success, sacrifice, maisha, mafanikio, life, kafara
Mafanikio ni matokeo mazuri ya jambo lolote na ni tofauti kwa kila mtu. Kama ulivyo uzuri, mafanikio yapo katika macho ya aonaye. Ni jukumu lako kujua mafanikio yana maana gani kwako, na jinsi gani umeyapata mafanikio hayo.
— Enock Maregesi
Tags: success, mafanikio, macho, eyes
Kufika hapa nilipofika leo nilijitolea vitu vingi na mambo mengi katika maisha yangu. Niliishi katika uhamisho wa kijamii kwa ajili ya mafanikio. Nilijitolea muda. Nilijitolea usingizi. Nilijitolea starehe. Wakati wengine wakienda baa mimi nilikuwa kazini. Wakati wengine wamelala, mimi nilikuwa macho nikifanya kazi. Wakati wengine wakiangalia vipindi pendwa vya televisheni, mimi nilikuwa nikiangalia vipindi visivyopendeka vya televisheni. Wakati wengine wana muda wa kuchezea, mimi nilikuwa nikiyaendesha maisha yangu kwa ratiba maalumu.
— Enock Maregesi
Tags: usingizi, success, starehe, sleep, ratiba-maalumu, my-life, maisha-yangu, mafanikio, luxury, fixed-schedule
Siri ya mafanikio ni shida!
— Enock Maregesi
Tags: success, siri, shida, secret, mafanikio, hardship
Ukikaa nyuma yangu utafanikiwa, ukikaa mbele utaanguka.
— Enock Maregesi
Tags: success, nyuma, mbele, mafanikio, in-front, behind
  • About
  • Contact Us
  • Terms and Conditions
  • Community Guidelines
  • Privacy Policy
© WSIRN 2025, Made with ❤ in Tokyo & Bali.